Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro
Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo
Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...