Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule ‘Recho’ (pichani chini), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam.
![]() |
Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies wakiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya taarifa za msiba wa msanii mwenzao, Rachel Haule 'Recho' mapema leo. |
Yeye mzazi pia hali yake iligeuka na kuwa mbaya, na ikabidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuzorota na baadae kufariki dunia.
Globu ya Jamii inatoa mkono wa rambirambi kwa ndugu, jamaa na marafiki na wadau wote wa tasnia ya filamu kwa msiba huu mzito
Ya hapa duaniani ndio mwisho wake. Sasa anajua yeye alilolitenda duniani na lililobaki ni kwenda kuangalia maisha ya Akhera jee alifanya kwa ajili ya Muumba au alifanya kwa matakwa ya roho na akili yake. Jibu analo yeye hapo atakapokutana na Mola muumba wa kila kilichopo duniani hapa
ReplyDelete