Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Naibu Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Penny Smith (katikati) masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingerzea nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo.
Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Katikati ni Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kushoto), Naibu Balozi wa Uingereza nchini, Penny Smith (wapili kulia), Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) na Kamishna wa Pasipoti na Uraia, wa Idara ya Uhamiaji, Victoria Lembeli wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo marefu yaliyofanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2014

    mi miguu ya Mshauri Haki Jinai...sijuui peponi pakoje, kama hapa Duniani watu "wamejaaliwa" namna hiyo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2014

    Hicho kiguo cha Mshauri unachokisema ni kutoheshimu tamaduni za watu tu na viongozi wao! Mbona Naibu Balozi kavaa heshma? Unadhani angevaa hivo Uarabuni?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2014

    kaka hapo juu umenena du! miguu si mchezo. ukaaji gani lakini huu jamani. waziri kazi aliipata

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2014

    "...sijuui peponi pakoje, kama hapa Duniani watu "wamejaaliwa" namna hiyo."

    Nani kakwambia kuna mahali panaitwa peponi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...