WALLY BADAROU ANAKUPA "HI LIFE"
Home
Unlabelled
ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kibao safi kabisa.Ankal vitu kama hivi uwe unavileta weekend ili sisi "wazee wa Chalinze na Mkata" tujikumbushe kukata nyonga na kuruka kama vibrator!
ReplyDelete1:Hiki kibao nilidhani kilipigwa na kundi la Wagadu Gu.Huyu Wally alikuwa kundi la Wagadu Gu?(Mwenye kumbukumbu azilete)
2:Wakati huo huo,kuna Kibao tena kilipigwa na Chicco wa A.kusini kinaitwa "She's hot" kwa mapigo haya haya ya "Hi Life" na kuleta mkanganyiko mkubwa wa nani hasa mwanzilishi wa hizo 'BEATS'
David V