Timu kabambe ya DMV
Mazoezi yanaendelea kesho Alhamisi May 15, 2014 kwa maandalizi ya mechi na New York itakayofanyika Jumamosi May 24, 2014 kwenye Memorial Weekend ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio.
Kikosi cha kwanza cha New York Team
Hiki ndicho kikosi kitakachoanza tarehe 24 jumamosi Memorial weekend. DC hawachomoki siku hiyo team itaingia DC mapema na kuwa mafichoni hili kupata fursa ya kupata massage maalum kwa kutumia mafuta ya karafuu mambo ya nakish nakish za kipwani hayo. Wachezaji wa New York tumeni majina yenu haraka kwa captain wa team hii kujua vyumba vingapi vya hotel vinaitajika team ikiwa DC.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...