![]() |
Ankal akimkabidhi Tuzo Mtunzi bora wa mwaka bendi Christian Bella. |
Ankal akila selfie na Jose Mara aliyeibuka Mwimbaji Bora wa Bendi wa Kiume
Ankal na DJ Bonny Love na mdau wakiwa na mshindi wa Wimbo bora wa Afrika Mashariki Jose Chameleone aliyeibuka kidedea kwa kibao chake cha "Tubonge" (BOFYA HAPA uusikie).
1.Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania ilichukuliwa na wimbo wa Bora Mchawi (Dar Bongo Massive).
2.Msanii Bora chipukizi (Young Killer).
3. Wimbo bora wa Zouk (Yahaya) wa Lady Jay Dee.
4. Wimbo wa Afropop (Number One) na Diamond Platnumz
5. Wimbo bora wa Ragga/Dancehall (Nishai) na Juru ft. Tash.
6. Wimbo bora wa kiswahili (Ushamba Mzigo) na Mashujaa Band.
7. Mwimbaji bora wa kiume taarab (Mzee Yusuph).
8. Mwimbaji bora wa kike Taarabu (Isha "Mashauzi"Ramadhani).
9. Wimbo bora wa Taarab (Wasi wasi wako) na Mzee Yusuph.
10. Wimbo bora wa Reggea imechukuliwa na wimbo wa (Niwe na wewe) na Dabo.
11. Mtunzi bora wa mwaka Hip hop (Fid Q).
12. Wimbo bora wa kushirikisha/kushirikiana (Muziki Gani) na Ney wa Mitego ft.Diamond.
13. Msanii bora wa Hip Hop (Fid Q).
14. Wimbo bora wa Hip Hop (Nje ya Box) na Nikki wa Pili ft.Joh Makini na G Nako.
15. Mwimbaji bora wa kiume kizazi kipya (Diamond Platnumz).
16. Mwimbaji bora wa kiume Bendi (Jose Mara).
17. Mwimbaji bora wa kike bendi (Luiza Mbutu).
18. Wimbo bora wa R&B (Closer) na Vanessa Mdee.
19. Kikundi bora cha mwaka (Weusi).
20. Mtunzi bora wa mwaka (Diamond Platnumz).
21. Mtunzi bora wa mwaka bendi (Christian Bella).
22. Mtunzi bora wa mwaka taarab (Mzee Yusuph).
23. Wimbo bora wa Afrika Mashariki (Tubonge) na Jose Chameleone.
24. Wimbo bora wa mwaka (Number One) na Diamond Platnumz.
25.Tuzo ya heshima ya Hall of fame ya Taasisi (Masoud Masoud wa TBC FM).
26.Tuzo ya heshima ya Hall of fame mtu mmoja mmoja (Hassan Rehan Bitchuka).
27. Mtumbuizaji bora wa kike wa mwaka (Isha "Mashauzi" Ramadhani.
28. Wimbo bora wa mwaka (Number One) Diamond Platnumz.
29. Mtayarishaji bora wa nyimbo za kizazi kipya (Man Water).
30. Mtayarishaji bora wa nyimbo wa bendi (Amoroso).
31. Video bora ya Muziki ya Mwaka (Number One) na Diamond Platnumz.
32. Kikundi bora cha mwaka Taarab (Jahaz Modern Taarab).
33. Kikundi bora cha mwaka bendi (Mashujaa).
34. Rapa bora wa bendi wa mwaka (Ferguson)
35. Mtayarishaji bora wa mwaka taarabu (Enrico)
36. Mtumbuizaji bora wa kiume kizazi kipya (Diamond Platnumz).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...