Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab wakati wakiingia Ukumbiti tayari kwa kushiriki chakula cha jioni na Wadau mbali mbali wa NSSF wanaohudhuria Mkutano wa Nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF.Tafrija hiyo imefanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi tuzo kwa Makampuni na Mashirika mbali mbali ambayo idadi kubwa ya wafanyakazi wake ni wanachama NSSF,wakati wa tafrija ya Chakula cha jioni iliyofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha leo. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi tuzo kwa Makampuni na Mashirika mbali mbali ambayo idadi kubwa ya wafanyakazi wake ni wanachama NSSF,wakati wa tafrija ya Chakula cha jioni iliyofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha leo. 
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Lady Jay Dee akitoa burudani kwenye hafla hiyo.
Mkongwe wa Muziki wa Dansi nchini,Mzee King Kikii a.k.a Mzee wa Kitambaa cheupe akizikonga vilivyo nyoyo za Mashabiki wake wakati wa hafla hiyo.
Rais Kikwete pia alijumuika na Wadau wa NSSF katika burudani hiyo ya ya Kitambaa cheupe ambacho huhimiza upendo na amani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2014

    Ankali, fanza juu chini utundike Video ya 'Kitambaa Cheupe'' katika hafla hii.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2014

    KIKWETE KUMBE ANAZIRUDI!

    CHADEMA MTAWEZA AU HATA KWENYE MINUSO MTAFUKUZANA? MAANA ZENU NI KUVIZIANA PANAPOKUUWA NA JAMBO LA KUFURAHISHA NINYI NI KUFUKUZA TU , KWELI?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2014

    Rais wa watu..
    no bodyguard needed! yes!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...