Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki,Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki kuwa
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard NewsPapers (TSN).
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Mei, 2014.
Kabla ya uteuzi huo Bwana Nderumaki alikuwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
22 Mei, 2014
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...