Rais wa Tervuren Rotary Club Mhe. Birgit Regine Rohde akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake Brussels. Mhe Birgit alimweleza Balozi Kamala uamuzi wa Tervuren Rotary Club kumtunuku nishani ya Paul Harris Bwana Ward Lernout kama ishara ya kutambua mchango wake wa kusaidia kituo cha watu wasiokia cha Msanda kilicho Mkoa wa Kilimanjaro Tanzania. Balozi Kamala amewashukuru Tervuren Rotary Club kwa kusaidia kituo hicho na amewaomba waendelee kufanya hivyo.
Home
Unlabelled
RAIS WA TERVUREN ROTARY CLUB AKUTANA NA BALOZI KAMALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...