Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na kufanya mazungumzo na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Rasit Peter (kushoto) baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,(katikati) Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi wa Ujumbe huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Bodi tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi ukiongozwa na Dr.Yaya Olaniran,(wa tatu kushoto).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi wa Ujumbe wa Bodi Tendaji ya mfuko wa maendeleo ya Kilimo (IFAD) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.}

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...