Shimo hatari lililopo katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jirani na Kituo cha ITV, Mwenge jijini Dar ambalo limekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo! Ungana na Global TV Online kushuhudia tukio hilo!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2014

    Hahahahaha Global nanyi mmeanza kujaza maji kwenye tenga!!! wenzenu baadhi walishachoka kuripoti....juu ya mashimo yasababishwayo na kuondolewa kwa mifuniko ya chuma ktk mitaro,vipita kushoto vya dharura visivyo rasmi...nakadhalika.....haya fukuzeni upepo....watu washaziba masikio na kufumba macho kitaambo......wamejikita ktk mambo ambayo wao wanaona ya msingi sana kuwauliza wananchi wanataka ngapi......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...