HOTEL VICTORIA MTWARA INATAFUTA MTAALAMU WA MASOKO MWENYE UZOEFU WA KUTOSHA NA ANAEJIAMINI KISHA TUMA MAOMBI KWA EMAIL HII issa@hotelvictoria.me AMBATANISHA CV YAKO NA PASSPORT SIZE. MSHAHARA MZURI SANA NA MNONO PAMOJA NA MAZINGIRA HURU YA KAZI. MWAMBIE RAFIKI NA NDUGU WACHANGAMKIE FURSA. CHEERS
PIA UKIWA HOTEL VICTORIA MTWARA UNAWEZA KUENJOY HAYA....
Butter chicken na garlic naan
Paneer masala na butter naan
Tandoor chicken
Naan bread ya kila ladha mfano chili naan, garlic naan, butter naan, cheese naan na plain naan
Misosi kama hii huwa na kula kwenye Restaurant za wahindi marekani. Mwalimu wa Issa inawezekana alikuwa ni mdosi
ReplyDeleteKwanini unapika Naan na sio CHAPATI halisi za kibongo?
ReplyDelete