Hajat Mwantumu Shabani Mtengeti (Mwatumu Malale) wa Mtaa wa Mlingotini Close, Regent Estate, Dar es salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Amina-Zahara Shabani Mtengeti (pichani) kilichotokea leo Mei 31, 2014 katika hospitali ya Kinondoni - kwa Dkt. Mvungi.
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga.
Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba upo nyumbani kwa Hajat Mwantumu Malale, Regent Estate.
INNA LILLAH WAINA ILAYHI RAJIUN
May Allah SWT grant you Jannat Firdous aunty Amina.
ReplyDeleteWe will always love and miss you.
Love Alu and Julius Nyang'oro,
Oh no! What a pity and what a painful loss! Da Amina, you were such a loving and generous person. Your friendship and kindness will be missed. The Lord giveth and the Lord taketh! RIP
ReplyDeleteKazi yake mola! By Ali Barajah
ReplyDeleteR.I.P dada Amina
ReplyDeleteTutakumiss sana Aunt Amina.
ReplyDeleteShocking sad may Allah rest your soul in Peace ameen...may Allah grant you janaat firdous! Ameen
ReplyDeleteRIP Dada yetu kipenzi Amina.
ReplyDeleteRIP Dada yetu kipenzi Amina by Vianney Tesha
ReplyDeleteMwenyezi Mungu ampuzishe pahala kabisa peponi. Poleni sana wanandugu. Ni msiba wetu sote. Kaka Omar, Dubai.
ReplyDeletePoleni sana
ReplyDeleteMaisha mafupi zidisha sala tuliobaki
ReplyDeleteR.I.P dada yetu kipenzi Amina, pole sana wanandugu wote jamani, kaka Kalala, dada Mwatum sina la kusema. Poleni sana wajukuu wote hususani Lolo Plantan kwa kuondokewa na bibi yako kipenzi.I know mlikuwa mnapendana kiasi gani. Tutakukumbuka milele.
ReplyDeleteOooh no RIP aunt Amina. You were such a loving person.
ReplyDeleteoh no nini?unabishana na kazi ya Muumba?cha msingi ni kusema INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAJIUUN,kumtakia maghfira marehemu na kuwapa pole wafiwa.
ReplyDeleteOh no!Gone too soon! May you RIP! Will miss your charm.
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi rafiki yangu mpendwa
ReplyDeleteAmina
Duuu...poleni familia ya Mtengeti. Namkumbuka dadaetu Amina akiwa bado shule, Dar es Salaam. Alikuwa akipenda utani utani ulioficha akili pevu. Mwepesi wa ucheshi na maneno ya furaha. Namkumbuka akiishi London, rahisi kuongea naye. Hana nyodo, kiburi wala majivuno.
ReplyDeleteMungu aiweke roho yake pema peponi.
Amina ! Amina! It is hard and painful to believe that you have departed from this world. You are physical gone, but spiritual still with us. Your are going to be missed, but not forgotten . Rest In Peace Sister.
ReplyDeleteRIP AMINA MTENGETI UMEONDOKA NA UCHESHI WAKO. TULIKUPENDA NA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI. MUNGU AKUONDOLEE MATESO YA KABRI.
ReplyDeleteI was truly saddened by the passing of Amina Mtengeti. I never had a chance to say thanks or goodbye but Amina’s soul has found eternal rest and it is our turn to deal with sorrow. My heartfelt condolences to her family. We are all going the same way..
ReplyDelete