Hajat Mwantumu Shabani Mtengeti (Mwatumu Malale) wa Mtaa wa Mlingotini Close, Regent Estate, Dar es salaam, anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Amina-Zahara Shabani Mtengeti (pichani) kilichotokea leo Mei 31, 2014 katika hospitali ya Kinondoni - kwa Dkt. Mvungi.

Mazishi yamepangwa kufanyika kesho Jumapili baada ya Swalat A'lasir katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Ataswaliwa msikiti wa Maamur, Upanga.
Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki popote pale walipo. Msiba upo nyumbani kwa Hajat Mwantumu Malale, Regent Estate.

INNA LILLAH WAINA ILAYHI RAJIUN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2014

    May Allah SWT grant you Jannat Firdous aunty Amina.
    We will always love and miss you.
    Love Alu and Julius Nyang'oro,

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2014

    Oh no! What a pity and what a painful loss! Da Amina, you were such a loving and generous person. Your friendship and kindness will be missed. The Lord giveth and the Lord taketh! RIP

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2014

    Kazi yake mola! By Ali Barajah

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2014

    R.I.P dada Amina

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2014

    Tutakumiss sana Aunt Amina.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2014

    Shocking sad may Allah rest your soul in Peace ameen...may Allah grant you janaat firdous! Ameen

    ReplyDelete
  7. Vianney TeshaJune 01, 2014

    RIP Dada yetu kipenzi Amina.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2014

    RIP Dada yetu kipenzi Amina by Vianney Tesha

    ReplyDelete
  9. Mwenyezi Mungu ampuzishe pahala kabisa peponi. Poleni sana wanandugu. Ni msiba wetu sote. Kaka Omar, Dubai.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2014

    Maisha mafupi zidisha sala tuliobaki

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 01, 2014

    R.I.P dada yetu kipenzi Amina, pole sana wanandugu wote jamani, kaka Kalala, dada Mwatum sina la kusema. Poleni sana wajukuu wote hususani Lolo Plantan kwa kuondokewa na bibi yako kipenzi.I know mlikuwa mnapendana kiasi gani. Tutakukumbuka milele.

    ReplyDelete
  12. Oooh no RIP aunt Amina. You were such a loving person.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 01, 2014

    oh no nini?unabishana na kazi ya Muumba?cha msingi ni kusema INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAJIUUN,kumtakia maghfira marehemu na kuwapa pole wafiwa.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 01, 2014

    Oh no!Gone too soon! May you RIP! Will miss your charm.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 01, 2014

    Mungu amlaze mahali pema peponi rafiki yangu mpendwa
    Amina

    ReplyDelete
  16. Duuu...poleni familia ya Mtengeti. Namkumbuka dadaetu Amina akiwa bado shule, Dar es Salaam. Alikuwa akipenda utani utani ulioficha akili pevu. Mwepesi wa ucheshi na maneno ya furaha. Namkumbuka akiishi London, rahisi kuongea naye. Hana nyodo, kiburi wala majivuno.
    Mungu aiweke roho yake pema peponi.

    ReplyDelete
  17. Jessica MutahanamilwaJune 02, 2014

    Amina ! Amina! It is hard and painful to believe that you have departed from this world. You are physical gone, but spiritual still with us. Your are going to be missed, but not forgotten . Rest In Peace Sister.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 04, 2014

    RIP AMINA MTENGETI UMEONDOKA NA UCHESHI WAKO. TULIKUPENDA NA MUNGU KAKUPENDA ZAIDI. MUNGU AKUONDOLEE MATESO YA KABRI.

    ReplyDelete
  19. I was truly saddened by the passing of Amina Mtengeti. I never had a chance to say thanks or goodbye but Amina’s soul has found eternal rest and it is our turn to deal with sorrow. My heartfelt condolences to her family. We are all going the same way..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...