Home
Unlabelled
TANGAZO MWANANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WAMEZAGE:!!!. By Utawala Ng'wanza kwa Mabula na Masanja
ReplyDeleteThat is not nice
ReplyDeleteAliyeandika tangazo hili ni mkorofi na mgomvi
Ningekuwa huko ningetupa takataka makusudi na kutupa pakacha zima la madanga ya ndizi chini ya tangazo lake ili just to rub him up the wrong way.
ibrahim
Matangazo kama haya ni mengi lakini cha kushangaza sehemu nyingi sana za Tanzania hususani katika Jiji la Dar es Salaam, hawajasambaza matenki makubwa au katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu kama vile sokoni. Sasa unajiuliza uchafu wautupe wapi. Matokeo yake uchafu unatupwa kando kando ya barabara na kwenye mifereji. Sijaelewa hasa sababu ni nini? Viongozi hawalioni? Hakuna fedha za kununua hayo madust bini au shida ni nini? Meya, mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, Rais wabunge, mawaziri, wote wanaishi Dar es Salaam. Lakini eti hili hawalioni! Mimi siwaelewi anayewaelewa anisaidie.
ReplyDeleteTangazo zuri sana, huyo anesema angetupa takataka mbele ya tangazo hilo lazima atakuwa nyani tu. na ane sema eti hakuna dust bins mimi nimeona sehemu kuna dust bins na mtu anatupa takataka chini. Juzi nilikuwa kwa bus na kuna dust bin lakini mtu alitupa taka taka dirishani,huu si ndio unyani. TANGAZO ZURI TU.
ReplyDelete