Marehemu Lilian Peppi Gondwe.
UONGOZI
wa Azania Benki unatangaza kifo cha Mfanyakazi wake,Lilian Peppi Gondwe kilichotokea
usiku wa kuamkia leo
Jumatatu Mei 5 katika
hosptali ya Arusha Medical Center ya jijini Arusha alipokuwa akipatiwa matibabu
ya Saratani.
Mipango
ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa
marehemu eneo la Kimandolu jijini Arusha ambapo mazishi yanatarajia kufanyika
Alhamis Mei 8 mwaka huu katika makaburi ya Njiro baada ya sala itakayofanyika
katika kanisa la kiinjili la kilutheli (KKKT)Kimandolu .
Tulikupenda
Lilli , lakini MUNGU amekupenda zaidi... tangulia, mbele yako nyuma yetu. Mungu
akupe makazi mema PEPONI, Ameen.
Imetolewa
na uongozi wa Azania uongozi wa Azania Benki.
Poleni sana wafiwa. jamani naomba msaada wenu huyu Lilian Gondwe ndo yule ninayemfahamu Mimi?. Alikuwa anaishi Mwanza akasoma Nyanza Primary School? ndo huyu aliyekuwa EXIM BANK? Mimi nimesoma naye Mwanza Nyanza kama ndo yeye jamani msiba huu umenigusa sana na alikuwa best friend wa sister yangu kama ni yeye. HAKIKA BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA na wote tumetoka kwake na huko huko tutarejea.
ReplyDeleteHuyu dada ni alikuwa mzuri I saw her once Exim bank Enzi hizo I think ni dada wa Jemima Gondwe
DeleteNdio Huyo Huyo Alisoma nyakahoja
DeleteNdio huyohuyo mdada alikuwa mzurije .Dah ehh baba mpumzishe lilian .Baba ao alikuwaga mzambia manager wa mwatex.
Delete"REQUIESCAT IN PACE" LILIAN!
ReplyDeleteOoh no jamani hatukuwasiliana miaka mingi sana. Pumzika kwa amani mwenyezi mungu akulaze mahali pema. Amina
ReplyDeletePoleni jemima gondwe nakumbuka alikuwaga anakujaga kukuona tambaza
ReplyDeleteR.I.P Lilian hakika Umetangulia nasi wote tuko njia moja kwani hatujui saa wala dakika. Kama kuna viumbe waliumbika basi Lilian ilikuwa mmoja wao na hakika jana nimeshtuka sana baada ya kuona tangazo hili. Lilian ulikuwa mzuri na cha zaidi ulijiheshimu sana. Nakumbuka sana enzi zile ulivyokuwa unasoma pale Nyanza PS na jinsi nilivyokuwa nakupenda na ingawa nilikuwa mdogo sana ila niligundua uzuri wako wa kweli. Kapumzike kwa AMANI Lilian kweli Duniani tunapita, sisahau jinsi nilivyokuwa najificha mahala kule BUNGANDO ili nione unapita ukirudi kwenu hakika MOLA AMEUMBA na AMEAMUA KUCHUKUA KIUMBE CHAKE. Lilian ulikuwa na tabia ya pekee haswa upole na kujiheshimu nakumbuka mwaka 1988 or 1989 ndo ilikuwa mara ya mwisho kukuona tena nilikuona kwa mbali sikubahatika kukusemesha. Wafiwa wote poleni sana na jua hamko peke yenu tuko pamoja kwenye kuombeleza. PUMZIKA KWA AMANI LILIAN
ReplyDeleteHuyu dada alikuwa mzuri EEh mungu baba apumzike kwa Amani .yaani kidogo nipigwe bunduki na Mzee gondwe .Dada ulikuwa mzuri wewe astakafulai Dah nilienda kusoma IFM ili tu nikupate vikashindikana .Natamani Mungu anichukue nikufuate mpaka mbinguni aisee.Rip lilian mungu amekuchukua na akupumzishe salama
ReplyDeletemimi pia mdahu wa ulaya nimeshutushwa sana na kifo cha lilian nakumbuka mara ya mwisho kumuona ilikuwa posta yapata miaka tisa poleni sana napia niliwahi soma nae nyanza pl henzi hizo
ReplyDeleteAlikuwa mzuriiii .mguuu huo ,macho ,kiuno,rangi ya mwili,mtoto mwendo wa madaha ,ulitulia .RIP lili
DeleteWatoto wa Mzee gondwe kwa kutulia kujificha .Huyu lili amefariki may 5 2014 .Nyie wote mlio comment Mara ya mwisho kumuona Mara 1989 Mara miaka 9 imepita .Mdogo wake nae adimu Huyo ukimuona Leo hutomwona mpaka sijui lini .RIP lilian
DeleteRIP LIilia! You was a striuggling woman!
ReplyDeleteGrounded,pretty,independent,self discipline .Yaani Mimi sijawahi mwanamke mzuri mnoo alietulia .Rest in peace mtoto mzuri lili nilikupenda mnooo ila sikubahatika
DeleteToday is one year anniversary my sister I love you ,miss you
ReplyDelete