1.  Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa katika ofisi kuu ya Bwawa la Maini kukamilisha usajili wa jumuiya hiyo ya wapenzai wa Liverpool nchini leo huko Anfield
  2.  Mwenyekiti wa The Kop in Tanzania Musleh akiwa Akiwa Anfield leo
  3. Issa Batenga na Musleh wakiwa na furaha baada ya kukamilisha usajili rasmi wa The Kop in Tanzania leo
  4. Mojawapo ya jezi ambazo kila mwanachama wa The Kop in Tanzania atapata. Hii ni mwendelezo wa harakati za kudumisha chama cha wapenzi wa Bwawa la Maini nchini Tanzania ambapo sharti kuu la kuwa mwanachama ni kuwa memba wa Liverpool FC hai wa chama hilo kubwa ambalo limebeba ushindi wa pili England.
  5. Kuwa mwanachama BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2014

    Ivi na hizi za nyumbani zilizopanda na zinazochipukia tunamwachia nani......mie ntabaki na Ndanda FC...Na Kuzipa moral support zooote nyumbani......

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2014

    kumbe ankal golikipa wa bwawa la magoli?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2014

    Bwawa la Maini mlie tu mmelikosa Kombe mwaka huu cjui kama mtalikamata tena, HALITATOKA MANCHESTER TENA, mwakani RED DEVILS watalirudisha nyumbani, tehe, tehe, tehe!!!!????

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2014

    Ankali kuwa Washindi wa Pili ktk EPL mnachapisha Jezi na Kampeni za Kusajili Mabosi wenu Bongo akina Batenga na Melseh safari hadi Makao Makuu Anfield!

    Je mngebeba Ndoo ya EPL kama Man-C sijui tunge kanyagia wapi mwanawane?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2014

    Tumekubaliana timu yetu tuibadilishe jina kuwa "BWAWA LA UTUMBO"

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2014

    brainwashed.............!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 14, 2014

    kweli hiari yashinda utumwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...