- Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa katika ofisi kuu ya Bwawa la Maini kukamilisha usajili wa jumuiya hiyo ya wapenzai wa Liverpool nchini leo huko Anfield
- Mwenyekiti wa The Kop in Tanzania Musleh akiwa Akiwa Anfield leo
Issa Batenga na Musleh wakiwa na furaha baada ya kukamilisha usajili rasmi wa The Kop in Tanzania leo
- Mojawapo ya jezi ambazo kila mwanachama wa The Kop in Tanzania atapata. Hii ni mwendelezo wa harakati za kudumisha chama cha wapenzi wa Bwawa la Maini nchini Tanzania ambapo sharti kuu la kuwa mwanachama ni kuwa memba wa Liverpool FC hai wa chama hilo kubwa ambalo limebeba ushindi wa pili England.
- Kuwa mwanachama BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Viongozi wa the Kop in Tanzania watua anfield kukamilisha usajili wa chama bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ivi na hizi za nyumbani zilizopanda na zinazochipukia tunamwachia nani......mie ntabaki na Ndanda FC...Na Kuzipa moral support zooote nyumbani......
ReplyDeletekumbe ankal golikipa wa bwawa la magoli?
ReplyDeleteBwawa la Maini mlie tu mmelikosa Kombe mwaka huu cjui kama mtalikamata tena, HALITATOKA MANCHESTER TENA, mwakani RED DEVILS watalirudisha nyumbani, tehe, tehe, tehe!!!!????
ReplyDeleteAnkali kuwa Washindi wa Pili ktk EPL mnachapisha Jezi na Kampeni za Kusajili Mabosi wenu Bongo akina Batenga na Melseh safari hadi Makao Makuu Anfield!
ReplyDeleteJe mngebeba Ndoo ya EPL kama Man-C sijui tunge kanyagia wapi mwanawane?
Tumekubaliana timu yetu tuibadilishe jina kuwa "BWAWA LA UTUMBO"
ReplyDeletebrainwashed.............!
ReplyDeletekweli hiari yashinda utumwa.
ReplyDelete