![]() |
MDAU ALBERT MUCHURUZA NA BI EVODIA ERASTO WAKILA POZI BAADA YA KUMEREMETA KATIKA KANISA LA RC NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA NA KUFUATIWA NA MNUSO WA NGUVU KATIKA UKUMBI WA LINAS NIGH CLUB MJINI BUKOBA |
Wapambe wa Bi Harusi wakipozi wakiwa wamembeba bwana harusi kuonesha furaha yao
Wapambe wa Bw Harusi wakiwa wamembeba bi harusi
Kutoka kulia ni Mheshimiwa Mr Muchuruza baba mzazi wa bwana harusi akiwa sambamba na mke wake bi Rose Muchuruza wakichukua picha ya pamoja na maharusi. Picha zaidi BOFYA HAPA
wAHAYA NIMEWAPENDA BURE! TUMEZOEA HARUSI NYINGI NI MWANAMKE TU NDIO HUNYANYULIWA NA KUONEKANA KAMA LULU HUKU MWANAMUME AKIACHWA ANATAZAMA. SAFARI HII WADADA WA KIHAYA WAMEONESHA KWAMBA HATA WAO WANAWAJALI WANAUME. BIG UP SANA.
ReplyDeletenikugambiree enough mbele ya my wife..chezea haya wewe..lol
ReplyDelete