Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.
Mshiriki Boniphace Meng'anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu wa kijiji, mwakilishi kutoka Datavision International pamoja na Epheta Msiga ambaye ni afisa mradi wa Maisha Plus kutoka kampuni ya DMB.
 Mkurugenzi Mtendaji wa DMB ambao pia ni waandaaji wa shindano la Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) akiwa anatoa Miongozo mbalimbali wakati wa Sherehe hizo za kumpata mshindi wa Maisha Plus Na mama Shujaa wa Chakula 2014
Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akitoa Hotuba yake wakati wa Fainali za kumpata mshindi wa Maisha Plus na Mama shujaa wa Chakula 2014
Mgeni  Rasmi katika Fainali za kumpata Mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula na Maisha Plus 2014 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila  akitoa hotuba yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...