Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Uturuki wa katikati pamoja na timu yake ikimsikiliza kwa makini Waziri Membe hayupo pichani. |
Ujumbe wa Tanzania na wa Shirika la Ndege la Uturuki wakiendelea na mazungumzo |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Uturuki |
Waziri Membe kushoto naye anapokea zawadi yake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege la Uturuki |
zawadi kwa Waziri Membe. |
Mkutano wa Waziri Membe na Wafanyabiashara wakubwa wa Uturuki
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Uturuki na ujumbe wa Tanzania. |
Waziri Membe akibadilishana kadi za mawasiliano na Wafanyabiashara wakubwa wa Uturuki. |
Jamani huo uwanja mpya wa ndege unaojengwa Dar kama utakuwa wa kisasa naomba serikali ijaribu kuongea na Marekani ili tuwe na direct flight toka USA.
ReplyDeleteHizo zawadi ni za taifa au ni za membe binafsi?
ReplyDeleteHahah mdau hapo juu umechekesha, swala ni biashara, kama kuna wateja ndege zitakuja tu wala hakuna majadiliano. Unatakiwa kujua kwamba mashirika ya ndege Marekani ni biashara binafsi, sio kama ATC. Hata ATC hawapangiwi trips na JK wala mwanasiasa yeyote. Shirika linajiendesha lenyewe.Nilishasikia Continental Airline? walikuwa mbioni kuanzisha direct flight from Texas to Dar, sijui imeishia wapi.
ReplyDeleteMghaibuni
hakuna ndege hata moja inayotoka states kuja Africa.wanaishia huko huko.hawataki ubabaishaji.huyu bwana waziri anataka ushirikiano wa aina gani manake ATCL wana kadege kamoja tu.wamekopa hela kununua ndege mpya matokeo yake wameleta ndege chakavu ya 540.Ng'ombe wa masikini kweli hazai,na akizaa.......
ReplyDelete