Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akishiriki katika Mkutano wa tano wa wa Nchi za Jumui ya Afrika Mashariki wa tano wa ushirikiano wa miradi ya maendeleo ya ukanda wa kaskzin (5th Summit of the Northern Corridor Intergration Projects)Uliofanyika kwenye hoteli ya Safari Park mjini Nairobi Mai 2, 2014.Viongozi waliohudhria mkutano huo ni Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto, Makamu wa Rais wa Burundi, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais wa Uganda Yoweri Museveni..jpg)
.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika ya Mashariki katika mkutano wao wa tano wa ushirikiano wa Maendeleo wa miradi ya maendeleo wa ukanda wa Kaskazini (5th Summit of the Northern Corridor Intergration Projects) uliofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Safari Park, Nairobi May 2/2014. Alimwakilisha Rais Jakya Kikwete katika mkutano huo. Viongozi hao kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Kenya William Samoei Ruto, Makamu wa Rais wa Burundi, Rais wa Rwanda Paul Kagame, Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Kenya ,Uhuru Kenyatta katika mkutano wao wa tano wa ushirikiano wa Maendeleo wa miradi ya maendeleo wa ukanda wa Kaskazini (5th Summit of the Northern Corridor Intergration Projects) uliofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Safari Park, Nairobi May 2/2014. Alimwakilisha Rais Jakya Kikwete katika mkutano huo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mmoja akihudhuria mwengine hatokei.....mwengine akitokea mmoja ahudhurii......
ReplyDeleteSafi sana JK.
ReplyDeleteDavid V
huu sasa ni upuuzi. tunaenda kufanya nini kwenye vikao ambavyo havituhusu? huyu uhuru kenyatta si alikuwepo hapa tanzania kwanini hawakuyazungumza haya wanakwenda kuyazungumzia nairobi? watanzania tusikubali kufanywa mazuzu.
ReplyDeleteUmeona eeeh Anonymous wa kwanza umepatia kweli! Kuna kazi hapo.
ReplyDeleteTumewakilishwa kwani mara ya kwanza kuwakilishwa kwenye mikutano mbali mbali?
ReplyDeletewENGINE WANAENDA WAWILI WAWILI, WENGINE WANATUMA WAWAKILISHI, WENGINE WANAENDA DECISION MAKERS!! HAPO UTAJUA NANI YUKO SERIOUS NA EAC!!
ReplyDelete