Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya,wa tatu kushoto akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi,Mhe.Rose Nizigiyimana.Wengine ni maafisa walioongozana na Waziri Mwandosya na wale wa Burundi.
Waziri wa Biashara,Viwanda,Posta,na Utalii wa Burundi Mhe Marie Rose Nizigiyimana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum),Profesa Mark Mwandosya wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania naule wa Burundi baada ya mazungumzo yaliyohusu nyanja mbalimbali za ushirikiano kati ya nchi hizi mbili.
Congratulations indeed! Ru
ReplyDelete