Makamu wa Kwanza wa RAis wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifurahia jambo wakati akizungumza na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa RAis wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa RAis wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa na balozi wa Tanzania nchini Sweeden balozi Dorn Msechu, ofisini kwake Migombani. (picha na Salmin Said, OMKR).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...