Pamoja na kupigwa marufuku mara kadhaa wachimabji hawa bado wameendelea kuchimba mchanga katika Mto Mbezi huku wakijaza magari makubwa yasiyo na idadi na tena wakifanya kazi hii mchana kweupeeee pyeeee  bila hata kuwa na woga. 
Wachimbaji hawa wamekuwa wakifanya hivi kila inaponyesha mvua kubwa inayokusanya mchanga mwingi kutoka eneo jingine kusogeza eneo hili, na wao wamekuwa wakiuhamisha mchanga huo kwa kuuchimba na kuupakia katika magari na kisha kwenda kuuza. Zoezi hili linachangia mmomonyoko mkubwa wa kingo za mto huo ambako nyumba kibao zipo.
 Wachimbaji wakiendelea na kazi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2014

    Si kama hawaonekani, si kama ni ngumu kuwazuia, isipokua wenye mamlaka hawana njia mbadala ya kuwafanya watoke na wasirudi tena kuifanya kazi hiyo......

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2014

    Sasa wakale wapi? Bora wapige kazi kuliko waingie mtaani na kuanza kukaba na kuiba.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2014

    NDIO VIZURI SANA TENA SANA,MFEREJI UNAPOKUWA NA MCHANGA AU MTO WA MAJI,UNATAKIWA UTOLEWE MCHANGA MAJI YASIENDE PEMBENI

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2014

    bora hawa kuliko viongozi wala rushwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...