Salaam Ankal!
Jamani hii ndio adha tunayopata wakazi wa maeneo ya Tabata Segerea na Kinyerezi tunaotumia barabara inayoingia Barakuda kupitia Daraja la Vingunguti. Wahusika watusaidie angalau kusambaza kifusi tu wakati wakiendelea kujipanga kuendelea na ujenzi. Huwezi amini hii ni sehemu ya Jiji la Dar es salaam! !
Siku njema Ankal.
Mdau, Tabata.
Sent from my Samsung Galaxy Note

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2014

    Poleni sana, ila waambie hao jamaa waliojenga pembeni watoe eneo ili barabara ijengwe vizuri. Eneo finyu kazi itajengwaje?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2014

    Du hii balaa! Wope wahusika wameiona. Meantime zungukia Sitaki Shari.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2014

    INASIKITISHA sana ukija vingunguti kuna lami safi hiki kipande tu hakiishi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2014

    Wanaohusika washughulikie hii barabara haraka iwezekanavyo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2014

    HII NDIO SABABU GARI ZETU ZINAHARIBIKA MAPEMA SANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...