Salaam Ankal!
Jamani hii ndio adha tunayopata wakazi wa maeneo ya Tabata Segerea na Kinyerezi tunaotumia barabara inayoingia Barakuda kupitia Daraja la Vingunguti. Wahusika watusaidie angalau kusambaza kifusi tu wakati wakiendelea kujipanga kuendelea na ujenzi. Huwezi amini hii ni sehemu ya Jiji la Dar es salaam! !
Siku njema Ankal.
Mdau, Tabata.
Sent from my Samsung Galaxy Note
Sent from my Samsung Galaxy Note
Poleni sana, ila waambie hao jamaa waliojenga pembeni watoe eneo ili barabara ijengwe vizuri. Eneo finyu kazi itajengwaje?
ReplyDeleteDu hii balaa! Wope wahusika wameiona. Meantime zungukia Sitaki Shari.
ReplyDeleteINASIKITISHA sana ukija vingunguti kuna lami safi hiki kipande tu hakiishi.
ReplyDeleteWanaohusika washughulikie hii barabara haraka iwezekanavyo
ReplyDeleteHII NDIO SABABU GARI ZETU ZINAHARIBIKA MAPEMA SANA.
ReplyDelete