Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake. Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA
Warembo wa Tabata mmependeza. Zaidi ya uzuri mwanamke wa karne hii aanatakiwa kujiendeleza ili aweze kujisimamia katika maisha. Msiache kujiendeleza.
ReplyDelete