Mahojiano ya Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mheshimiwa Omar Mjenga na CloudsTV, yaliyofanyika  wakati wa mkutano wa uwekezaji kwenye sekta ya nyumba uliofanyika haa Dubai na kufunguliwa rasmi na Mheshimiwa Dk. Mohamed Bilal, Makamu wa Rais. Mkutano huo uliandaliwa na Ubalozi Mdogo kwa kushirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ambako waliweza kuwasilisha miradi yao mitatu ya miji maalum (Satelite Cities) za Kibada, Dar es saalam, Safari City ya Arusha. Huu ni mkutano wa kwanza wakihistoria kwenye sekta hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...