Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Covenant
Bi.Sabetha Mwambenja akitoa mfano wa beiskali wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji
Ng’ombe wa kisasa cha Kata ya Somangila Kigamboni
jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi huo.Benki hiyo inategemea kutoa mkopo kwa kikundi hicho ili waweze kuendeleza
ufugaji huo. Kulia ni Mratibu wa Wafugaji wa Ng’ombe wa Kata ya hiyo Getruda Mpelembe na katikati ni mtunza Hazina wa Kikundi hicho Jumanne Hussen
na Kushoto ni Mwenyekiti Taifa
Wajasiriamali Dk.Dauda Salmin.
Mratibu wa kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa Kata ya Somangila Kigamboni jijini Dar es Salaam, Getruda
Mpelembe (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Covenant
Bi,Sabetha Mwambenja,Baada ya kuongea na kikundi hicho kuhusiana na maswala
ya mradi wa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa
wa kisasa ambapo kikundi hicho
kitanufaika na mkopo kutoka benki ya Covenant kwa ajili ya kuendeleza mradi huo
wa ufugaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya
Covenant Bi,Sabetha Mwambenja akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha
wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa cha Kata
ya Somangila kiilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi wa ufugaji wa kisasa wa ng’ombe wa maziwa unaovihusisha vikundi vitatu vya kata
hiyo ambapo wafugaji hao watapata mkopo wa kuendeleza mradi huo kutoka Covenant
benki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant
Bi. Sabetha Mwambenja akitoa mfano wa
spoko za beiskali kwa kikundi cha wafugaji zaidi ya 45( hawapo pichani)wa Kata
ya Somangila kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi wa
ufugaji wa Ng’ombe wa kisasa wa Maziwa.Benki hiyo inategemea kutoa mkopo kwa kikundi
hicho ili kiweze kuendeleza ufugaji huo. Kulia ni mtunza Hazina wa Kikundi hicho Jumanne Hussen.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...