Diamond Platnumz akikaribishwa katika Red Carpet ya BET Awards huko California 
Singer Diamond Platnumz attends the BET AWARDS '14 at Nokia Theatre L.A. LIVE on June 29, 2014 in Los Angeles, California.
Diamond Platnumz katika Red Carpet ya BET Awards huko California.
Hapo kala vitu vya Sheria Ngowi na viatu vya Gucci. Utamtaka!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2014

    In order for him to have gotten a recognition at the red carpet ,he would have rather dressed in Africans design,if you come to our country then don't dress like us

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2014

    WOW OMG
    What logic
    Kuna mtu anayeweza kunisaidia nielewe jamaa hapo juu ana maana gani? He has thrown me into a total tizzy

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2014

    i think nimempata huyo wa hapo juu. when you are on international stage especially in a competitive market like the US, identity and uniqueness start to matter a lot. diamond looked great but did not stand out, he looked like many others on that stage. americans will never remember diamond who had on gucci shoes, you want to give them something to remember you by - not sure what that is but it is up to diamond and other african artist to figure out. mnamuona lady gaga au nikki minaj? sisemi diamond aende kwenye ile extreme but you get my point. my 2 cents.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2014

    Did he tell you that he needs to be recognized by anyone?, i think he has the right to dress as per his own feelings

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2014

    WHAT IS AFRICANS DESIGN?... PLEASE

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 01, 2014

    Acha majungu na roho mbaya wewe mdau wa kwanza. Which recognition? Can you tell me that's the way Americans dress? Really??? Mweziyo akifanikiwa mpongeze. Diamond ameshaandika jina lake BET na ipo siku atafika mbali zaidi na atapata tuzo ambazo hata wewe katika ndoto hazipo kiusanii. Kuishi America si kutukana nduguzo. Hata mimi nipo New York, USA lakini Tanzania ni nchi yangu nilipozaliwa na pia najivunia sana kuona mtu kutoka nyumbani anapofanikiwa. Tubadilike.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 02, 2014

    Hongera Diamond.
    Wengi wetu tunafurahishwa tukiona Mtanzania mwenzetu kafanikiwa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 19, 2014

    diamond has shown TZ dat we can.msi argue wala kzarau mawazo ndugu hapo juu wanania nzuri.jas get dat its da begining guyz. By mr. English mwanza.

    ReplyDelete
  9. Mawazo yake huyo..hajitambui..hajui kama kula na mjinga inabidi ujifanye mjinga...huo aliousema ni kwa MTU asiyejitambua anaishi kwenye ulimwengu UPI...umaarufu aliokuwanao..unatokana na kutengenezea videozake kwa viwango vya huko majuu..watanznia hatujafikia kiwango cha kujifanya eti sisi ni bora kuliko wazungu..wakati nchi Yenyewe tunategemea kilakitu huko...tukikataa tu kuinama wanyimahela hata mishahara inakosekana....na bei zinafumuka mashule yanafilisika......hayo Mawazo...ni kudharaulisha..tuu....hakuna anayeweza Fanya kama Gandhi...Mzee wetu baba Wa taifa..hakuenda kudai Uhuru akiwa amevaa kanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...