Jerome (26) na Kevin-Prince Boateng (27)  ni ndugu wa baba mmoja kutoka Ghana na mama mbalimbali (Wajerumani) ambao wameweka historia ingine usiku huu kwa kucheza Kombe la Dunia pamoja lakini katika timu za nchi mbili tofauti. Jerome anachezea Ujerumani wakati nduguye Kevin-Prince anachezea Ghana, japo wote wamezaliwa Berlin, Ujerumani. 
Usiku wa leo ndugu hawa wanaweka historia ya kucheza uwanja mmoja katika  timu tofauti wakati Ujerumani inacheza na Ghana. Mara ya kwanza walikutana kwa staili hiyo mnamo Juni 23, 2010 huko Afrika ya Kusini ambapo Ujerumani iliifunga Ghana bao 1-0. 
Leo mpira umeisha kwa Ghana 
na Ujerumani kutoka sare ya 2-2

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 22, 2014

    Ujerumani haina raia pacha usitake kutudanganya! Na kuchezea nchi huihitaji kubadili uraia!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa mwanzo hapo juu. Lakini hapo ukisoma maelezo hayo kwa kituo na kina, sidhani kama hilo suala la uraia pacha linaingilia khabari hiyo na sidhani kama limeongelewa katika taarifa hiyo. I think ni vyema ku-respond kwa mujibu wa khabari husika ilivyoeleza, kuliko what someone knows about. Mana sioni kosa la muandishi kudanganya hapo, bali kawaelezea tu ndugu hao wawili uhusiano wao na uhusika wao katika soka, khususan katka kombe hili la dunia 2014, thus it!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...