Asalaam aleykum. 
Khitma ya wanawake ikiwa ni Duaa kwa marehem AMINA ZAHRA MTENGETI itasomwa leo Juni 3, 2014  saa 10 alasiri eneo la REGENT ESTATE, Mlingotini, jijini Dar es salaam,  nyumbani kwa Hajjat Mwantumu MALALE.

Wote mnakaribishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ehee jamani Amina alifariki lini...Poleni sana Familia ya Mtengeti...RIP Amina..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...