Mdau Kazikupenda Kk Chale anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi Bi.Fides Chale (pichanii) kilichotokeo ghafla leo huko Nyumbani kwake Ubungo Msewe.
Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa mwanae, Ubungo-Msewe, Dar. Maziko yanatarajia kufanyika Dar. Taarifa zaidi zitotelewa baadae.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
jina la Bwana Lihimidiwe - Amen
KK anaendesha blog ya Tembea Tanzania BOFYA HAPA
jina la Bwana Lihimidiwe - Amen
KK anaendesha blog ya Tembea Tanzania BOFYA HAPA
Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu na amlaze marehemu mahala pema...kumbukumbu zangu zinanipeleka mbali nikiwa sekondari kama huyu mama nilikuwa nikimuona wakati wa mitihani ya taifa ikisambazwa mashuleni....hiyo ni miaka ya themanini huko...
ReplyDeleteAnnony wa kwanza, ni kweli kabisa. Mama alikuwa ni mtumishi wa baraza la mitihani kwa muda mrefu akiwa kama mkuu wa kitengo cha usimamizi wa mitihani - Exam Adminiatration. Alistaafu 1996 na kujikita kwenye NGOs.
ReplyDeleteOOOOh jamani ni jumamosi tu umetoka kuzika mjomba wako marehemu mzee A. Mwingira na sasa hivi mama, mwenyezi mungu aiweke roho ya marehu mahali pema peponi Amen, poleni sana wafiwa, poleni sana familia yote ya MWINGIRA, Pole sana Dr Upendo Mwingira Ndalama na pole sana KK na familia yote
ReplyDeleteRIP Mama Chale, poleni sana familia ya Chale na Mwingira
ReplyDeletePole sana KK
ReplyDeleteNaomba tuwasiliane 0688 078178 REPOA
KK pole sana na msiba wa mama. Mungu akujaalie nguvu na ustahamilivu. Mungu ampokee Mama katika ufalme wake. Amen
ReplyDelete