Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.
 Kazi ya kuzima moto ikiendelea.
 Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
 Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku jitihada mbali mbali za kuuzima moto huo zikiendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Sasa manispaa ya ilala iwatafutie sehemu nyingine hapo wajenge apartments na makao makuu ya manispaa. Good riddance. Maana hao jamaa walikuwa wabishi kuhama hapo sasa wahame!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2014

    Very good,there's a market that was built at ilala for these petty businessmen to use but they wouldn't use it and opted this unofficially market, now you had paid the price

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 13, 2014

    But why two markets burnt to the ground in a few days? is there an investigation about this?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2014

    wenyewe wameshasema hawahami ng'o.na hiyo hiyo jana wameshaanza kujenga.labda mwende na mizinga na vifaru kuwahamisha maana wameshashitukia janja yenu ya kuwapiga kiberiti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...