Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.
Kazi ya kuzima moto ikiendelea.
Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku jitihada mbali mbali za kuuzima moto huo zikiendelea.
Sasa manispaa ya ilala iwatafutie sehemu nyingine hapo wajenge apartments na makao makuu ya manispaa. Good riddance. Maana hao jamaa walikuwa wabishi kuhama hapo sasa wahame!
ReplyDeleteVery good,there's a market that was built at ilala for these petty businessmen to use but they wouldn't use it and opted this unofficially market, now you had paid the price
ReplyDeleteBut why two markets burnt to the ground in a few days? is there an investigation about this?
ReplyDeletewenyewe wameshasema hawahami ng'o.na hiyo hiyo jana wameshaanza kujenga.labda mwende na mizinga na vifaru kuwahamisha maana wameshashitukia janja yenu ya kuwapiga kiberiti.
ReplyDelete