Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti 
Kikao cha pamoja kikiendelea baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...