Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. |
Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. |
Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. |
Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia
mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na mazingira hadi
kituoni.Globu ya jamii ilifika hadi kituoni licha ya kwamba asakri wa
kata aliyekuwa amevalia sare kudai kuwa yeye aliwasamehe lakini Mkude
akiwa kituoni alisimamia msimamo wa kufunguliwa kwa kesi dhidi ya
sakari hao.Hata hivyo baadae raia wa kigeni alionekana katika eneo la
stendi akiranda randa.Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini. PICHA ZAIDI YA TUKIO HILI BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...