Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jingo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana kwa jina la HIGH SPIRIT LOUNGE ambayo iko ghorofa ya 11. Parking za kumwaga mpaka underground na ulinzi wa kutosha. Fika ujionee mwenye ufunguzi rasmi Tarehe 21/6/2014 kuanzia saa tano usiku. Ma- DJ watakao kupatia burudani tosha. SOUND MPYAAAAA. Pia Kombe la Dunia utaliona katika luninga ya kisasa na surround sound. USIKOSE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 18, 2014

    Bong, you know how how to design, that kiota is so good I have never seen one like that. But why on the 11th Floor? How does someone get there? are the electricity problems solved? Good luck.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 18, 2014

    Jaman tupeni na mbinu za kusaka pesa..sio mbinu za.kutumia pesa tu....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 18, 2014

    MDAU WA KWANZA ,SWALI ZURI LAKINI WAJULISHE NA WENZAKO HUKO ULIKO KUWA UMEME SIO HOJA HUKU SIKU HIZI KUNA GENERATORS ZINAZOFUA UMEME. NA KATIKA SEHEMU KAMA HIO HUWA ZIKO 3 POWERFULL GENERATORS.

    USIKONDE WEWE NJOO TU HIO NDIYO BONGO SIKU HIZI SIO DAR TU HATA VIJIJINI, KIGOMA MAMBO KAMA HAYO YAPO MENGI WALETE NA RAFIKI ZAKO WAJE WAJIONEE. MPIRA YOTE YA WORLD CUP NCHI NZIMA TUNAONA HATA KWENYE REMOTE VILLGES

    ReplyDelete
  4. Jamani mi siendi tena ulaya. Ulaya hapahapa. Mlioko Ulaya rudini haraka. Imetulia hiyo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 18, 2014

    Nitarudisha Psipoti yangu Uhamiaji!!!

    Sioni sababu kwa nini niliigharimu Serikali kuomba na kunitolea Passipoti wakati Bongo ndio Majuu ?

    Nitamrudishia Pasipoti Kipa Jakaya Kikwete !!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2014

    Tofauti kati ya Klabu hii ya Bongo na Klabu ya Majuu unaweza kuagiza Kisamvu na Mlenda ukapikiwa, unaweza kuagiza ugali kwa dagaa mchele ama samaki wa kukaanga na kwa kachumbari ukaandaliwa, je Klabu ya Majuu utaweza pata huduma hiyo?

    Duuu Bongo kwa Kikwete ni zaidi ya Majuuu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 18, 2014

    Huuu! Now tz is coming to america.Why dont you also surf the rotationg towers of Dubai One? It makes me so happy when I come across the nice things. Bravooooo. I'll be there on saturday at 12.00 mid sharp. see you when you see me!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 18, 2014

    See u there!kwa ss tunaofanya kazi posta mmetuongezea a place ya kuenjoy wile tunakwepa folen

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 19, 2014

    Bongo oyeeeee!

    Jakaya Kikwete hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 19, 2014

    MDAU WA PILI No.2 hapo juu:

    ''Jaman tupeni na mbinu za kusaka pesa..sio mbinu za.kutumia pesa tu....''

    Fursa Tanzania zipo kibao za kusaka pesa (TENA ZA HALALI) kama unavyoona wageni hadi Warundi,Wakongo na Warwanda wakauja kuuza kahawa na wanapiga hela kama hawana akili hapa Tanzania!

    La muhimu fuata taratibu zote, fungua Biashara ya halali (USIWAZE KUUZA UNGA ama KUFANYA UHALIFU na UJAMBAZI) na tamaa za Utajiri wa haraka haraka ili uweze kutanua ktk Hoteli hiyo.

    Usipende Utajiri wa haraka haraka fanya kazi za halali na kufuata Sheria utaheshimika na utapata fedha nyingi sana na kutanua hapo Hotelini Ghorofaya 11 IT Plaza!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...