Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jingo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana kwa jina la HIGH SPIRIT LOUNGE ambayo iko ghorofa ya 11. Parking za kumwaga mpaka underground na ulinzi wa kutosha. Fika ujionee mwenye ufunguzi rasmi Tarehe 21/6/2014 kuanzia saa tano usiku. Ma- DJ watakao kupatia burudani tosha. SOUND MPYAAAAA. Pia Kombe la Dunia utaliona katika luninga ya kisasa na surround sound. USIKOSE.
Home
Unlabelled
KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bong, you know how how to design, that kiota is so good I have never seen one like that. But why on the 11th Floor? How does someone get there? are the electricity problems solved? Good luck.
ReplyDeleteJaman tupeni na mbinu za kusaka pesa..sio mbinu za.kutumia pesa tu....
ReplyDeleteMDAU WA KWANZA ,SWALI ZURI LAKINI WAJULISHE NA WENZAKO HUKO ULIKO KUWA UMEME SIO HOJA HUKU SIKU HIZI KUNA GENERATORS ZINAZOFUA UMEME. NA KATIKA SEHEMU KAMA HIO HUWA ZIKO 3 POWERFULL GENERATORS.
ReplyDeleteUSIKONDE WEWE NJOO TU HIO NDIYO BONGO SIKU HIZI SIO DAR TU HATA VIJIJINI, KIGOMA MAMBO KAMA HAYO YAPO MENGI WALETE NA RAFIKI ZAKO WAJE WAJIONEE. MPIRA YOTE YA WORLD CUP NCHI NZIMA TUNAONA HATA KWENYE REMOTE VILLGES
Jamani mi siendi tena ulaya. Ulaya hapahapa. Mlioko Ulaya rudini haraka. Imetulia hiyo.
ReplyDeleteNitarudisha Psipoti yangu Uhamiaji!!!
ReplyDeleteSioni sababu kwa nini niliigharimu Serikali kuomba na kunitolea Passipoti wakati Bongo ndio Majuu ?
Nitamrudishia Pasipoti Kipa Jakaya Kikwete !!!
Tofauti kati ya Klabu hii ya Bongo na Klabu ya Majuu unaweza kuagiza Kisamvu na Mlenda ukapikiwa, unaweza kuagiza ugali kwa dagaa mchele ama samaki wa kukaanga na kwa kachumbari ukaandaliwa, je Klabu ya Majuu utaweza pata huduma hiyo?
ReplyDeleteDuuu Bongo kwa Kikwete ni zaidi ya Majuuu!
Huuu! Now tz is coming to america.Why dont you also surf the rotationg towers of Dubai One? It makes me so happy when I come across the nice things. Bravooooo. I'll be there on saturday at 12.00 mid sharp. see you when you see me!
ReplyDeleteSee u there!kwa ss tunaofanya kazi posta mmetuongezea a place ya kuenjoy wile tunakwepa folen
ReplyDeleteBongo oyeeeee!
ReplyDeleteJakaya Kikwete hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
MDAU WA PILI No.2 hapo juu:
ReplyDelete''Jaman tupeni na mbinu za kusaka pesa..sio mbinu za.kutumia pesa tu....''
Fursa Tanzania zipo kibao za kusaka pesa (TENA ZA HALALI) kama unavyoona wageni hadi Warundi,Wakongo na Warwanda wakauja kuuza kahawa na wanapiga hela kama hawana akili hapa Tanzania!
La muhimu fuata taratibu zote, fungua Biashara ya halali (USIWAZE KUUZA UNGA ama KUFANYA UHALIFU na UJAMBAZI) na tamaa za Utajiri wa haraka haraka ili uweze kutanua ktk Hoteli hiyo.
Usipende Utajiri wa haraka haraka fanya kazi za halali na kufuata Sheria utaheshimika na utapata fedha nyingi sana na kutanua hapo Hotelini Ghorofaya 11 IT Plaza!