![]() |
MZEE LYSON MANALA MWAKAPENDA |
Umetimiza
Mwaka mmoja tangu ulipotwaliwa tarehe 3 Juni, 2014, ni siku ambayo hatutoisahau
katika maisha yetu, Kimwili hauko nasi lakini Kiroho uko pamoja nasi, Mapenzi
ya Mungu yatimizwe.
Unakumbukwa sana na mkeo mpenzi Atuganile, watoto wako
Alice, Nicholaus, Maria, Fanney, Mercy, Rose na Bertha, mama yako mzazi (Alice)
dada zako, wakwe zako (Dr. Alfred Laison, Crispin, Moses, Dr. Felix na Halima),
wajukuu zako, ukoo wa Mwakapenda, Mwenisongole na Mwampashi, ndugu, jamaa na
marafiki.
Tutakukumbuka daima kwa ucheshi wako na mafundisho yote uliyotuachia.
Mungu ailaze Roho Yako Mahali Pema Peponi. Amina.
maria poleni sana,and RIP mwakapenda
ReplyDeletemaruma uk