Home
Unlabelled
Kutoka maktaba: Kumbukumbu ya marehemu mzee small alipokuwa kazi na "mkewe" Bi chau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MASHA ALLAH! Kweli hawa wawili wapendanao toka enzi hizo katika fani yao hii ya Sanaa, basi kama ni kipaji Masha Allah, si haba wamejaaliwa. Binafsi huvutiwa sana kwanza kwa lafdhi yao nzuri na kiswahili fasaha wanachozungumza, hwishi hamu ya kuwaskiliza. Ama na uwe pole mpendwa wetu Bi Chau kwa kuondokewa na mwigizaji na msanii mwenzio wa enzi na enzi, laazizi wako katika fani ya uigizaji, Mzee Small. Hawa ndio wasanii asilia wa kuwaenzi na kuwajali kwa kila hali, khususan kwa mchango wao mkubwa katika kazi zao za sanaa nchini. Na katu siyo uungwana kuwapuuza, kutowajali na kuwasahau katika uhai wao na kuanza kuwakumbuka baada yakei. Tujifunze kutokana na makosa.
ReplyDeleteMwenyeez Mungu akughufirie kwa yote, akunusuru adhabuze na akupumzishe palipo pema peponi Mzee Wetu Bw. Said Ngamba alwatan 'Mzee Small' - AMEEN.