Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (aliyevaa tai) akiwa kwenye Picha ya pamoja na Maafisa Mawasiliano Serikalini wa kutoka kwenye Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali. Mafunzo hayo yamefunguliwa na Bibi. Sihaba Mkinga, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Prof. Gabriel mbali na Kuwa Naibu Katibu Mkuu, pia ni Mwalimu ambapo alitoa mada kwa Maafisa hao namna ya kuwahudumia vizuri wateja wao mahali pa kazi.
Home
Unlabelled
Mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano Serikalini kuhusu Itifaki na Huduma kwa Mteja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mafunzo kwa maafisa hawa ni jambo jema na la msingi. Huku Zanzibar hata siku moja hakujawahi kufanyika kitu kama hiki!!! Sijui idara/wizara inayohusika ina jukumu lipi juu ya wasemaji wa serikali na mashirika/taasisi zake.
ReplyDelete