Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli leo amekivuruga Chama cha CHADEMA Kata ya Ilyamchele Wilaya ya Chato inayoongozwa na Diwani wa CHADEMA. Akiwa katika mkutano wa kawaida wa kichama ameweza kusomba wanachama 400 wa CAHDEMA ambapo kadi za CCM ziliisha ikabidi wanachama wengine wapya wasubiri kadi zingine zitakazoletwa kesho.
Dkt John Pombe Magufuli akigawa kadi za CCM kwa waliokuwa wana CHADEMA
Mamia ya wananchi waliojitokeza kumuona Dkt John Pombe Magufuli
Dkt John Pombe Magufuli akigawa kadi kwa mmoja wa wana CHADEMA
Wanachama wapya wa CCM waliohama CHADEMA wakila kiapo
Dkt John Pombe Magufuli akionesha kadi ya CHADEMA iliyorejeshwa na mwenye nayo kuchukua ya CCM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...