Kama ulidhania utaweza kuendesha gari usiku bila leseni ama kadi ya gari jijini Dar es salaam, umenoa. Siku hizi Wazee wa Feva wako kila mahali na wakati wowote ule....Hapa ni katika makutano ya barabara za Nkrumah na Bibi Titi saa tisa usiku ambapo magari yalisimamishwa na madereva wake kutakiwa kuonesha leseni na kadi za gari.
Home
Unlabelled
Trafiki wafanya kazi hadi usiku Dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Je kiwango cha pombe ktk pumzi ya dereva haipimwi ili kupunguza ajali za madereva waliokunywa pombe kuzidi kiwango-salama?
ReplyDeletewakianza kuwapima 'wenye bajeti ya nchi', wataacha kunywa na bajeti itatetereka! maana bajeti inategemea kilaji.
ReplyDelete