Watuhumiwa wa wizi wa mali zilizokuwa zikisafirishwa na lori la kampuni ya Dandu |
Hili ndilo lori lililokuwa na mali hizo chini kukiwa na ubichi wa mafuta ya taa yaliyomwagwa ili kulilipua lori hilo bila mafanikio |
Mwonekano wa lori hilo kwa ndani baada ya mali zote kuhamishwa |
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Afande Ramadhan Mungi akionesha lori hilo mali ya kampuni ya Dandu ambalo limechomwa moto na dereva na utingo wake baada ya kufaulisha mali zote kwa lengo la kuiba |
hakuna shaka hizi ni akili z bangi. wizi usio na mipango sasa unawapeleka lupango. wataipenda sinema ya huko
ReplyDeleteHIZI NI AKILI ZA UFIKILIO AU PUMBA. KWELI KOSA MALI PATA AKILI, KWELI HAWA WOTE WATU WAWILI AKILI ZAO NI PUMBA KIASI HIKI, HAHAHAHA NIMECHEKAJE, THEY ARE SO TOO MUCH STUPID
ReplyDeleteWanyampala wa Mbeya wameendesha gari weee kwa adabu na uaminifu lakini hadi walipofika karibu na maeneo ya kwao Mbeya wakawaza Utajiri wa Haraka wakalipiga kiberiti Lori !!!
ReplyDeleteSasa kibao kimegeuka wana kwenda LUPANGO!