Makamu Mwenyekiti
wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Watu wa China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza mkutano .
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akionyesha zawadi aliyopewa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula mara baada ya
kumaliza mkutano baina ya viongozi wawili.
Viongozi wa CCM
wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip
Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li
Yuanchao(hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.

Balozi wa China Nchini Tanzania Lu Youqing akifafanua jambo wakati wa Semina ya Ujamaa iliyohusisha CCM na CPC kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti
wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akizungumza wakati wa Semina
inayohusu Umuhimu wa Ujamaa na Kukua kwa Uchumi,wengine pichani(kushoto)
ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Abdala Bulembo ,Mwakamu Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana CCM Mboni Mhita ,Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM
Ndugu Sixtus Mapunda ,Profesa Max Muya ,na Makwaia wa Kuhenga.
Mr Ma Zhongji
kutoka Ubalozi wa China akisaidia kutafsiri wakati wa Semina ya Ujamaa
iliyohusisha CCM na CPC iliyofanyika kwenye Hotel ya Serena jijini Dar
es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...