Meneja
Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa
mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa
Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na
mabadiliko ya tabianchi
Msimamizi wa masuala ya mabadiliko ya tabinachi wa UNDP, Abbas Kitogo akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania
katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya
tabianchi
Baadhi ya wadau wa mazingira waliohudhuria mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania
katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya
tabianchi.
PICHA ZAIDI BOFYA HPA
PICHA ZAIDI BOFYA HPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...