Mkrugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi
za jamii(SSRA) Bibi Irene Kisaka akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete kwa kutambua mchango wake katika kumsaidia Mh.Rais
katika jitihada zake za kujenga utawala bora nchini katika hafla iliyofanyika
katika ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es
Salaam jana usiku(picha na Freddy Maro).
Home
Unlabelled
Mama Kikwete apewa Zawadi ya Kinyago
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...