Wanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja wakiangalia moja ya mfano wa ndege wakati walipotembelea katika banda la Mamalaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania TCAA, Katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa Utwala Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Catherine Morarya akiwaonyesha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Mnazi Mmoja ya jijini Dar es Salaam redio ya upepo inayotumika kwa mawasiliano ya anga, wakati walipofika kujifunza maswala ya anga katika banda la Mamlaka
ya Usafiri wa Anga Tanzania kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea hapa nchini.
Afisa Habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania *TCAA* Faustine Ngongo akiwaelezea baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo lililopo kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...